Mzee Job Lusinde Malecela mwenyekiti wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma akichangia hoja katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, DKT. Hawa Sanare akijibu akichangia hoja katika mkutanoMkurugenzi wa Rasilimali za maji Wizara ya Maji, Hamza Sadiki akitoa ufafanuzi juu ya vyanzo vya maji nchini.
No comments:
Post a Comment