Friday, November 22, 2013

MTANGAZAJI ATIMIZA AHADI YAKE YA KUTANGAZA HABARI UCHI.


Mwanadada Doria Tillier ametekeleza ahadi yake ya kutangaza taarifa ya habari ya hali ya hewa kwenye kituo kimoja cha Televisheni akiwa uchi.
Mwanadada huyo alitoa ahadi kama Ufaransa itafanikiwa kurudisha mabao 2 waliyokuwa wamefungwa na Ukraine kwenye mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za kombe la Dunia basi angetangaza taarifa ya habari akiwa kwenye hali ya utupu.
Kwenye mchezo wa marudiano Ufaransa ilifanikiwa kuitandika Ukraine mabao 3-0 na kufanikiwa kukata tiketi ya kwenda Brazil mwakani.

1 comment:

Anonymous said...

kweli hii akili ya mtu mzima mwenye hekima na busara halafu basi ngojea utaona watanzania hasa hasa wabongo wa bara wanavyotaka kuiga mambo kama haya bila kufikiria kazi ipo