ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 9, 2013

NDOA YA MUSSA NA JASMINE SPRINGFIELD, MASSACHUSETTS YAFANA

Bwana na Bi Harusi wakichum baada ya ndoa yao iliyofanyika siku ya Ijumaa Nov 8, 2013 Springfield Massachusetts na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki waliotoka Massachusetts na sehemu mbalimbali hapa Marekani kesho ni sherehe ya harusi yao itakayofanyika Days Inn iliyopo Springfield, MA.
Biharusi katika picha kushoto akiwa kwenye gari na picha kulia akiwa kwenye chumba maalum.
Bwana na Bi harusi wakiingia ukumbini kwa nyakati tofauti alitangulia Bwana Harusi na baadae Bi harusi alifuata.
Juu na chini Bwana harusi akiwa na wapambe wake akielekea kwenye ukumbi.
Bi harusi akiingia ukumbini na wapambe wake.
Bi harusi akiulizwa na shehe kama anakubali kuolewa na Mussa na wala hakulazimishwa.
Bwana harusi akiulizwa kama atamuoa Jasmine.
Baada ya ndoa Mussa akimfunua uso Jasmine kwa mara ya kwanza kama mke wake.
Mussa na Jasmine wakitabasamu kwa mara ya kwanza kama mume na mke.
Video fupi ya harusi yao
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Mussa akimchukua mke wake nakuelekea nae ukumbini.
Mama mzaa chema pamoja baba wakipiga picha ya pamoja na maharusi

5 comments:

Anonymous said...

Hongereni Mussa na Jasmine, ndoa yenu imefana sana. Na Mola azidi kuwabariki.

Anonymous said...

Mpwa kiboko na kazu juu.

Anonymous said...

mzee big up..kama uyo demu atakuwa ni mnyamwezi, nimekupa big up sana.bado demu ni mchanga na sio kama wengine wanakimbilia kuoa miji-mama kwasababu ndio wanawake rahisi marekani kuoa.
slow but sure.
mdau DMV.

Anonymous said...

SALUTE mkuu kitu kimetulia no comment.kama ni mtego basi umenasa
wish you da best
Ronnie

Anonymous said...

Mussa hongera ,iyo ndiyo inaitwa DIFFRENCE.