Friday, November 22, 2013

NIMECHOKA NA WAPENZI WA KUKUTANA MITANDAONI

Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwisho ana majini ...Daah Mechoka Mie. Nenda mall sasa labda utapata mpenda shopping jama.

1 comment:

Anonymous said...

hahahaaa!umenifurahisha sana na maneno yako