Friday, November 22, 2013

P SQUARE WATUA NDANI YA BONGO KUKINUKISHA WIKEND HII

Wanamuziki wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na East Africa Radio na EATV.
Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea.
Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kazi ya kesho
(Picha na Mdimuz Blog)

1 comment:

Anonymous said...

nataka nisaidiwe jamani kwani bongo nyuzi joto ningapi,angevaa diamond mnge sema sasa huyo jamaa na bodywormer nivipi anzeni kumsema na huyo sio kuungamkono wajinga hao nakuponda nduguzetu acheni ushamba!!