ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 11, 2013

SHEREHE YA HARUSI YA MUSSA MWANILELO NA JASMINE SMITH SPRINGFIELD, MASACHUSETTS

Mussa akimvalisha pete mke wake Jasmine
Bwana harusi akipokea kiss baada ya kulishana kaki, kwa picha zaidi nenda soma zaidi

Bi harusi akimlisha keki baba mlezi Bwn. Issu siku ya Jumamosi kwenye sherehe ya harusi yake iliyofanyika Days Inn Springfield, Massachusetts inchini Marekani.

Bi harusi amkilisha keki mama yake mzazi Bi. Ghaife.

Bi harusi Jasmine Smith(kati) katika picha ya pamoja na ndgu, jamaa na marafiki.

Bwana na Bi harusi katika picha ya pamoja.
 Familia ya Bi harusi siku ya Jumamosi Novemba 9, 2013 Days Inn Springfield, Massachusetts wapili na watatu tka kulia na wazazi wa Bi harusi
kushoto Wazazi wa bi harusi katika picha ya pamoja na familia ya Kibodya 

Mwana FA(kushoto) ambaye yupo Marekani kwa likizo katika picha ya pamoja na mkuu wa Wialaya ya Springfield, Massachusetts Bwn. Isaac Kibodya.

New York sisters katika picha ya pamoja na mke wa mkuu wa wilaya ya Springfield, MA (wapili toka kushoto)
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Bi harusi Jasmine Smith akijiandaa kushuka kwenye gari siku ya ndoa yake iliyofanyika Ijumaa Novemba 8, 2013 Days Inn Springfield, Massachusetts nchini Marekani
 Bwana harusi Mussa Mwanilelo (wapili toka kushoto)akiingia Days Inn akiwa na wapambe wake siku ya ndoa yake
 Bwana harusi katika picha na mmoja wa masheh waliokuwa kwenye ndoa yake.

7 comments:

Anonymous said...

Congrats maharusi, ama kweli watoto wamekua.

Anonymous said...

Congrats maharusi, ama kweli watoto wamekua.

Anonymous said...

hongereni, Ghaife ni mama wa bwana arusi au wa bibi arusi? mbona sielewi elewi?

Anonymous said...

hongera maharusi mungu awape umri kwenye ndoa yenu,tunaomba vijimambo kuna sura tumeshazizoea ziache kujitoa vijimambo sasa

Anonymous said...

labda hizo sura zina mauzo mengi

Anonymous said...

wapi othman

Anonymous said...

Kwani umelazimishwa kuangalia vijimambo?