ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 29, 2013

PIKI PIKI YA MABONDIA NASSIBU RAMADHANI NA MOHAMED MATUMLA YAONESHWA

Mratibu wa mpambano wa ndondi Kaike Siraju akiojiwa akiwa juu ya pikipiki itakayogombaniwa na mabondia Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani siku ya Desemba 25 
Bondia Mkongwe Rashidi Matumla akizungumzia mpambano wa mwanae Mohamedi Matumla na Nassibu Ramadhani litakarofanyika Desemba 25
Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida akiojiwa 
Meneja Masoko wa kampuni ya haojue,Wawa Laida kulia akiwaonesha pikipiki itakayogombaniwa Dar es salaam jana na mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na Mohamed Matumla siku ya Desemba 25 wengine wa pili kushoto ni Rashidi Matumla,Christopher Mzazi na mlatibu wa mpambano uho Kaike Siraju Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: