Familia ya Asha Nyang'anyi wakiwa nyumbani kwao Gaithersburg, Marland walipowaalika baadhi ya walimbwende wa Miss Tanzania USA Pageant kwenye chakula cha Thanksgiving kilichojumuisha baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Asha akiwemo mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant, Ma Winny Casey (hayupo pichani) siku ya Alhamisi Novemba 28, 2013 sikukuu hii ni moja ya sikukuu kubwa nchini Marekani.
Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey akipitiapitia vitu viwili vitatu kuweka sawa mabo yatakavyokuwa siku ya kesho Jumamosi ambapo itakuwa mshikemshike asiyekuwa na mwana aeleke jiwe maananke Ballywood Ballroom patakuwa ahapatoshi.
Mlimbwende Sham Manka kutoka Massachusetts akipata Ukodak.
Mlimbwende Joy Kalemera kutoka New Jersey akipata Ukodak moment.
Juu na chini ni Mamiss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na familia ya Asha wakiwemo Ma Winny Casey
No comments:
Post a Comment