ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 8, 2013

PITA PITA YA YA VIJIMAMBO NDANI YA WORLD HEADQUARTER MILWAUKEE WISCONSIN

Baada ya kuboresha viwanda vilivyo karibu na New York Company ya Temba Engineering Service ya anza project mpya ya kuboresha machine za World Headquarter kiwanda kikubwa cha kutengeneza product zote zinazo husisha na nyama za kusaga. Company hiyo hipo katika mji wa Milwaukee Wisconsin.
Dr Temba C.E.O na Engineer wa T.E.S akikagua ubora wa nyama hizo kabla ya kuanzwa kwa kazi. Kwa taswira zaidi nenda soma zaidi chini.
Technical wa T.E.S Nyagaly akipata ukodak na Manager product wa Company hiyo bwana Tani, Nyama hizi hapa ni maalumu kwa kutengenezea Bacon kwa wale walaji wa Bacon hii inawahusu.
Hizi ni Sausage zenye urefu wa futi 3 na ni maalumu kwa kutengenezea pepperoni kwa wale wa pepperoni pizza mnajiramba sasa. 
Nyama hizo upandishwa na forklift kama unavyo ona mfanyakazi akiwajibika.
Picha ya Juu na chini Dr Temba baada ya Survey ya kiwandani hapo sasa ni muda wa kitako na kujua mbivu na mbichi lini kazi rasmi kuanzwa.
Ukodak wa pamoja baada ya mjadara kwisha, T.E.S kurudi New York kujipanga siku ya kurudi tena na kuanza kazi baada ya T.E.S Team kutumia siku mbili kiwandani hapo.
Hapa ni gate kuu la kuingilia kiwandani 
Dr Temba akipata ukodak mbele ya sign inayoonyesha kama umefika kiwandani, hapa ni the home of sweet apple wood smoke havor. Kiwanda hiki kina patika Milwaukee Wisconsin.

No comments: