ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 25, 2013

Rais Kikwete akutana na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa UN

1-Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu Bibi Mary Robinson na kufanya nae mazungumzo jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro
Rais akiongea na mgeni wake 
Rais Kikwete akisistiza jambo katika maongezi na mgeni wake
Rais akipata ukodak baada ya maongezi na mgeni wake

No comments: