Serikali yatakiwa kutoa kauli haraka kuhusu viwango vya ufaulu.
Bunge limeitaka serikali kutoa kauli haraka iwezekavyo kutokana na kutofautiana maelezo ya viongozi wa wizara ya elimu kuhusu mabadiliko ya viwango vya ufaulu toka daraja la sifuri na kuwa daraja la tano.
No comments:
Post a Comment