ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 5, 2013

SHABANI KAONEKA AJIFUA KWA AJILI YA SAID MBELWA November 10

Bondia Shabani Kaoneka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Kaoneka anayejiandaa na mpambano wake na Said Mbelwa utakaofanyika November 10 jumapili hii katika ukumbi wa Paradise uliopo Pugu Kirumba Dar es salaam

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Kaoneka anayejiandaa na mpambano wake na Said Mbelwa utakaofanyika November 10 jumapili hii katika ukumbi wa Paradise uliopo Pugu Kirumba Dar es salaam 
Bondia Shabani Kaoneka akitupo konde lililokwepwa na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayo enderea katika kambi Ilala Amana Dar es salaam kaoneka anajiandaa na mpambano wake na Saidi Mbelwa utakaofanyika jumapili hii katika ukumbi wa paradise Pugu Kirumba 
Bondia Shabani Kaoneka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Kaoneka anayejiandaa na mpambano wake na Said Mbelwa utakaofanyika November 10 jumapili hii katika ukumbi wa Paradise uliopo Pugu Kirumba Dar es salaam picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: