ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 7, 2013

SIHITAJI MWANAUME KABISA JINI MAHABA NDIYO MPANGO MZIMA WADAU MNAAMINI KWELI KUNA JINI BAHABA?

Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa linanitokea usiku wa manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii imekuwa kwa miaka saba sasa. Na cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa naridhika kabisa yaaani acha tu kiasi kwamba wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na hili jina mahaba litoke ?

7 comments:

Anonymous said...

Yeah ni ukweli ... Jini mahaba hufanya Watu wasiolewe au kusababisha matatizo ndani ya ndoa... Anaweza kuwa mwanamke au mwanaume inategemea na jinsia Yako wewe Kama demu basi unapata wa kiume... Jambo la kukumbuka ni kwamba jini ni pepo or unclean spirit or demon... Haya madude yanasababisha sana problems kwa Watu... Saa ingine yanaweza kuwa yanaua tu mabwana zako au yanawafukuza halafu unajiuliza hivi Mimi na mkosi gani? Hauna mkosi ila una mapepo aka demons .... Inabidi upate deliverance in the name above all names ...at the mention of that name every kneel must bow and every tongue must confess Jesus Christ is lord for the glory of God the father. Watch this video will help you to understand better .http://m.youtube.com/watch?v=AoX0-CTjXlM

Anonymous said...

anza maombi na kwenda knsn

Anonymous said...

Obesity!**

Anonymous said...

NJIA PEKEE YA KUKUSAIDIA NI KUOKOKA TU. YAANI BWANA YESU NI JIBU. KWANZA ATAKUOKOA NA KUKUSAMEHE DHAMBI ZOTE, PILI ATAKAA NDANI YAKO NA KUKULINDA MUDA WOTE. HAYO MAJINI MAHABA YATAKUKIMBIA SABABU YESU NI MOTO ULAO. TUPATIE E-MAIL ADRESS YAKO ILI TUKUFUNDISHE NENO LA UZIMA.

Anonymous said...

Ya kemee hayo majina katika Jina la YeSu utaona yatakimbia Kama kuku wa kienyeji! Mbioooooo! Hapana chezeaa nguvu ya maombi wewe? Uchawi, uchafu, majini, majinamizi, maruhani, nuksi na balaa vyooye vinakimbia unabaki msafiii na mwepesi Kama nyoya la kuku mchanga!!! Kemea! Kemea! Kemea! Jilinde kwa maombi makali utaona jinsi utakavyofanikiwa!

Anonymous said...

Ni kweli alicho kisena is happened to me nandoa yangu ili vunjika

Anonymous said...

Ni kweli hayo mambo yapo yasha happed kwangu na ndowa kuvunjika na mke kukimbia is trued