ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 12, 2013

Trafiki anaswa akichapa usingizi mida ya kazi baada ya kuzidisha pombe

Askari wa usalama barabarani ambaye mpekuzi wetu hakufanikiwa kumtambua jina anadaiwa kuacha kuongoza magari na kisha kunasawa baa akiwa amelala baada ya kulewa kupita kiasi..

Tukio hilo lilijiri juzikati kwenye baa moja maarufu maeneo ya mataa ya sanawari jijini Arusha ambapo askari huyo alinaswa akiwa hoi ndani ya sare za jeshi la polisi baada ya kuzidisha pombe, jamabo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za jeshi la polisi nchini.

No comments: