Mwili wa Aliyekuwa msanii wa kundi la taarabu la Tanzania Morden Taarabu T moto Nyawana Fundikira ukingizwa kwenye gari kwa ajili ya kusafirisha nyumbani kwao Tabora kwa maziko
Baadhi ya marafiki wa kais mussa kaisi wariohudhulia msiba huo kutoka kushoto ni Robart Kiatu,Mohamed ngusura, Benny Mtwanga ,rama makoa wazee wa USAMA CAMP UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO
Marafiki wa kais mussa kais wakipiga stor mbili tatu wakati wa kusafirisha mwili wa marehemu nyawana fundikira
Msanii wa kundi la taarabu la mashauzi classic Thabit Abdul akiwa amebeba jeneza la mwili wa marehemu msanii Nyawana Fundikila pamoja na wausika wengine kwa ajili ya kupereka kwenye gari iliyomsafirisha kwenda tabora kwa ajili ya maziko
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukuwa matukio mbalimbali picha na www.burudan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment