ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 8, 2013

UGENI KUTOKA ZANZIBAR

KWA NIABA YA JUMUIYA YA WATANZANIA SEATTLE WASHINGTON....MIMI NDUGU A.DOLA(MAYOR OF SEATTLE)MNAKARIBISHWA KATIKA SHEREHE YA KUKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAISI ZANZIBAR NA UGENI WAKE JUMAPILI TAREHE 10TH NOV 2013 SAA TISA(3PM)MPAKA SAA 4SIKU(10PM)KATIKA UKUMBI WA RAMADA INN.15901 W VALLEY HWY TUKWILA WA 98188.PIA KUTAKUA NA CHAKULA NA VINYWAJI LAINI,WOTE MNAKARIBISHWA KUFIKA KWENU MUHIMU KAMA UTAKUA NA MAASULA YA KUTAKA KUJUA ZAIDI NA KWA UNDANI...KWA MAAWASILIANO ZAIDI CONTACT WATU WAFATAO.......BI FATMA AL-TAMIM........CELL 206 225 7534....NDG A.DOLA..........296 422 3050....NDG AMIN IBRAHIM......206 372 1693......NGD E.MUTA.......206 291 8835........NDG J.MKUDE.......206 449 7054......MGENI MHE ATAWASILI KESHO KWA ZIARA YAKE........ASANTENI WOTE.......

2 comments:

Anonymous said...

Ahsante sana. Mheshimiwa Meya sa Seattle nimependa sana tangazo lako jinsi ulivyoliweka sana. Umeonesha Uzalendo bila ya hofu.

Mungu Ibariki Zanzibar na watu wake.

Nyote munakaribishwa kwenye ghafla hiyo muhimu ya kukutana na Makamu wa pili wa raisi kutoka ZANZIBAR. Mh. Baloz, Seif Ali Iddi na ujumbe wake.

Anonymous said...

kwani meya wa seattle mzazibari huyu hebu tujiulize na siku hizi kama mzalendo wa kupenda haya mambo ya jumuiya acheni uongo wenu