ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

Wahamiaji haramu 16 wakamatwa Makongo juu.

Watu 16 wanaosadikika kuwa wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia, waliokua katika harakati za kusafirishwa kwenda Afrika kusini wametiwa mbaroni na jeshi la polisi kanda maalum ya Dar-es-Salaam eneo la Makongo juu manispaa ya Kinondoni

No comments: