Sunday, November 24, 2013

WANA CCM CHICAGO WAKUTANA

Kushoto ni Mwekyekiti wa Tawi la chicago Ndugu Tina Lupembe katikati ni Mjumbe Rachel Wassira na Kulia ni Naibu Katibu Ndugu Judith Mhuto wakiwa kwenye mkutano wa CCM tawi la Chigago IL nchini Marekani wakijadili mawili matatu kuhusiana na tawi hili siku ya Jumamosi Novemba 23, 2013.
Naibu Katibu Ndugu Judith Mhuto akichangia jambo kwenye mkutano huo
Kushoto ni Mjumbe Ndugu Eric Kejo, Mwenyekiti wa Tawi, Mzazi Mlezi wa Tawi Ndugu Eustace Kaijage, Rachel and Naibu Katibu Judith Mhuto mwisho
kuyoka kushoto ni Mjumbe Eric Kejo,Naibu katibu Judith Mhuto,Katibu Mwenezi Samson Chekingo, Mzazi Mlezi Mzee Kaijage na mwisho ni Mjumbe Rachel wassira.
Katibu Mwenezi Samson Chekingo akichangia jambo
Katibu Mwenezi Samson Chekingo(kushoto) pamoja na Mzazi Mlezi Mzee Kaijage wakiwa kwenye mkutano huo
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


2 comments:

Anonymous said...

Asante mdau, naona hapa watu wako Americak lakini wanafanya kazi Tanzania na kulipwa na serikali ya CCM, je mnalipa kodi ya serikali kwa mapato hayo??

Anonymous said...

Wamekutana kuuza suraaa. Mbona hapaonyeshi picha kama za mkutano? Blog inmekuwa fb.