ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

Watanzania watakiwa kupuuza kauli za kuwakejeli.

Watanzania wametakiwa kupuuza madai potofu kuwa hawana uwezo wa kushiriki katika biashara ya mafuta na gesi kwa vile hawana mitaji mikubwa ya fedha.

No comments: