Watu sita wameuwawa na 36 wamejeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Bwagala na wengine kulazimika kuyakimbia makazi yao kufuatia vurugu na mapigano ya siku mbili yaliohusisha vikundi vya wakulima vya ulinzi wa jadi na wafugaji jamii ya wamasai wa kijiji cha Hemebeti wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment