Zaidi ya wafanyakazi elfu moja wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo mwendo wa haraka - Strabag jijini Dar es salaam wameshindwa kendelea na kazi baada ya wenzao walioajiriwa kama vibarua kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kupewa mikataba ya kazi kufunga lango la kuingilia katika kampuni hiyo kushinikiza kupewa mikataba pamoja na kuongezwa mishahara
No comments:
Post a Comment