Hapa ni mambo ya bump to bump asubuhi ndani ya jiji la Dar kuingia katikakati ya jiji mida ya asubuhi na jioni mambo ni kama hivi sungura kamkaba kobe.
Upande wa train nao ni kama hivi hakuna mambo ya bumper to bumper, Boda boda nazo mwendo mdundo ingawa usafiri huu wa boda boda ni kwa ajiri ya nje ya jiji tu uwezi kuingia nao katika kati ya jiji.


No comments:
Post a Comment