ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 6, 2013

Balozi Mulamula ampokea Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi California nchini Marekani

 Kulia ni Mhe. Liberata Mulamula akiwa California kwa ajili ya kumpokea Mhe. Rais Mstaafu Ali Hassani Mwinyi ambaye ndiye atakayekua mgeni rasmi kwenye sherehe ya Uhuru itakayofanyika jiji la wajanja Oakland, California siku ya Jumamosi Desemba 7, 2013.
 Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiwasili California nchini Marekani maalum kwenye sherehe ya uhuru itayafanyika Jumamosi Desemba 8, 2013 kwenye jiji la wajanja Oakland kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula.
 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwnyi pamoja na mkewe, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula wakiongozana na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania California wakati walipompokea Rais mstaafu Ali Hassani Mwinyi mara tu alipowasili California nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya Uhuru itakayofanyika Jumamosi Desemba 8, 2013 kwenye jiji la wajanja Oakland.
 Wadau mbalimbali wa California wakiwa na furaha kumuona na kumpokea Rais mstaafu Mhe, Ali Hassan Mwinyi aliyeambatana na mkewe Mama Khadija Mwinyi pichani watoto wakimkabith
 Rais Mstaafu Ali Hasani Mwinyi akifuarahi na watoto waliojumuika na wadau mbalimbali wa california walifika kumpkea mara alipofika jimboni hapo.
 Rais Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Khadija Mwinyi wakifurahi na watoto waliokujumuika na wazazi wao hotelini hapo mara tu alipowasili Califaornia tayari kama mgeni rasmi kwenye sherehe ya Uhuru itakayofanyika kwenye jiji la wajanja Oakland Jumamosi Desemba 8, 2013.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Wadau mbalimbali wa California wakipata ukodak moment na Mhe, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwanyi pamoja na mkewe mama Khadija Mwinyi.
 Mhe. Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi pamoja na mkewe katika picha ya pamoja na watoto waliojumuika na wazazi wao katika kumlaki alipowasili California nchini Marekani tayari kama mgeni rasmi kwenye sherehe ya Uhuru itakayofanyika Jumamosi Desemba 8, 2013.
 Watoto katika picha ya pamoja na Mhe. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi pamoja na mkewe Mama Khadija Mwinyi.

 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongea machache alipokutana na Watanzania wa California mara tu alipowasili jimboni hapo kulia ni Balozi wa heshima Bw. Ahmed Issa
 Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akisalimia na kuongea machache kuhusu ujio wa Mhe. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Wadau mbalimbali wakimpokea  Mhe. Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ambaye ndiye atakayekua mgeni rasmi kwenye sherehe ya Uhuru itakayofanyika jiji la wajanja Oakland, California siku ya Jumamosi Desemba 7, 2013.
Wadau mbalimbali waliokuwepo kwenye mapokezi ya Mhe. Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ambaye ndiye atakayekua mgeni rasmi kwenye sherehe ya Uhuru itakayofanyika jiji la wajanja Oakland, California siku ya Jumamosi Desemba 7, 2013.

No comments: