ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 9, 2013

BALOZI WA HESHIMA AHMED ISSA NA MKEWE KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAHESHIMIWA

 Balozi wa heshima Ahmed Issa pamoja na mkewe katika picha ya pamoja na Mama Khadija Mwinyi na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula. Balozi Mulamula alikuwa California kuungana na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika siku ya Jumamosi Dec 7, 2013.
Balozi wa heshima Ahmed Issa akiwa na mkewe (kushoto) katika picha ya pamoja pembeni ya gari ya kampuni yake ya Ahmed Moving Express na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi pamoja na mkewe Mama Khadija Mwinyi, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula(kulia) 

3 comments:

Anonymous said...

hivi balozi wa heshima ndio ana kazi gani?

Anonymous said...

Balozi wa Heshima huwakilisha nchi yake mahali hakuna ofisi ya Ubalozi. Marekani ni nchi kubwa ikiwa na majimbo 51 ukijumuisha District ofmColumbia. Yeye yupo jimbo lCalifornia. US ni sawa na nchi 51. Ofisi ya Balozi DC haitoshi. Halipwi mshahara. Ni kazi ya kujitolea lakini kazi yake ni kuirajamu nchi na kushiriki kwenye matukio kuhusu nchi anayoiwakilisha. Hayo mabango ya Kitalii kwenye malori yake ni jambo zuri sana na kwa kweli anaitangaza vivutio vya Kitalii kama inavyoonekana. Hongera Balozi Ahmed Issa kwa kazi nzuri

Anonymous said...

Here you are:

A lot of people call honorary consul general. There is no such thing as a honorary consul general. There are, however, honorary consuls (balozi wa heshima) .

Honorary consuls have no official diplomatic status, no diplomatic immunity, no formal credentials, and no fixed length of assignment. Most of their duties are ceremonial, cultural, commercial or social and are totally voluntary. They are not paid, and receive no benefits from the country they represent; they are expected to earn their own income from the business they already do, or that their consulship generates. An honorary consul is usually of the nationality of the host nation, not the represented one: that is, the Austrian Consul General in Boston is an American citizen. To be an honorary consul requires that the applicant request the title from the embassy of the country he wishes to represent. They send the request their Foreign Office, which decides.