Helicopter akitua katikati ya uwanja kuchukua majeruhi kutoka na vurugu kubwa zilizo sababishwa na wapenzi wa Vasco Da Gama na Atletico. Vurugu hizo zilitokea baada ya Vasco Da Gama kupokea kipigo cha 5-1 kutoka kwa Atletico, ndipo washabiki wa pande hizo mbili walivyo tiana mikono iliyosababisha uvunyikaji wa amani uwanjani hapo.
Mmoja ya majeruhi akiwaishwa kwenye helicopter baada ya kushambuliwa katika furugu hizo.
Police wakijaribu kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki wakila upande wasiendele na vurugu hizo lakini wapi paliendelea kuchimbika tu.
Hapa ni shabiki wa Atletico akipokea kipigo kutoka kwa mashabiki wenye hasira wa timu ya Vasco Da Gama. Nchi hii yenye wazimu wa mchezo wa mpira wamiguu ndiyo wenyeji wa mashindano makubwa kabisa duniani.
Penye kutokea kasheshe zozote zinazosababisha ukosefu wa amani na damu kumwagika waathirika wakubwa ni watoto na wanawake.
Majeruhi akiwaishwa kwenye helicopter, wajeruhi wengi wamejeruhiwa vibaya sana na wengine kupoteza maisha kwani ilikuwa patashika ngozi kuchanika damu kumwagika.
Mchezaji akilia kwa uchungu baada ya kushuhudia kijana mdogo akipigwa na kujeruhia vibaya.
Vurugu hii inaweza kusababisha watu kuogopa kwenye kushuudia mashindano ya kombe la dunia kwa kuhofia maisha yao.
Mapenzi ya timu yanaweza kusababisha mtu kuwa na roho mbaya na kumuona mwenzio adui kihasi hiki
Police wakijaribu kumuokoa mmoja wa majeruhi na huku wakirusha mabomu ya machozi
No comments:
Post a Comment