ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 1, 2013

HABARI NDIYO HII MREMBO YUPO FITI NI MAZOEZI TU HAKUNA NDUMBA HAPA JIBEBE NA WEWE UFIKIE KIWANGO

Viungo vimekuwa flexible hadi kupitiliza siyo uchawi ni mazoezi tu na wewe unaweza lakini usijaribu bila mazoezi usije kuijkuta juu ya kitanda cha ICU na mapanzia ya blue yamekuzunguka. Its my Opinion !!!

No comments: