ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 16, 2013

HARAMBEE YAKUSANYA $4,320 DMV MPAKA SASA IMEKUSANYWA $5,476 KIASI KILICHOBAKI $ 7,524 MSAADA WAKO BADO UNAHITAJIKA


Wafiwa katika picha kutoka kushoto ni Rehema (mke wa Nambay ) Nambay na Sackstus Kaitaba ndugu wa marehemu wakiwa kwenye harmbee iliyofanyika College Park Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania DMV na kuwezesha kukusanya $ 4,320/= ambavo ukijumulisha na michango yote iliyokusanywa tangia msiba huu uwanze ni 5,476/= na jumla ya gharama zinazotakiwa na hatimaye kuwezesha kumsafirisha marehemu Tanzania ni $13,000/= kwa hiyo bado inahitajika $7,524/= unaweza kutuma mchango wako kupitia acc No4460305874474, MOSHA MEMORIAL FUND Route # 052001633 BANK OF AMERICA. au kama upo karibu na mwanakamati jaribu kuwasilisana naye Faraja Isingo  301-592-7581, Erick Mahai  443-909-8389, Amani Moshi 240-462-3488, Veronica Mahai 865-816-0732, Faith Isingo 240-705-1055, Jack Korasa 240-706-6831, Deo Ruta 301-520-6828, Johnson Ejalu 240-258-8399

Tunatanguliza shukrani zenu za dhati kwaushirikiano wenu.
Address ya nyumbani kwa wafiwa
4717 Eiderdown Ct,
Owings Mills, MD 21117

Wajukuu wa marehemu katika picha ya pamoja wakati wa harambee.

Sunday Shomari akiendesha mnada
Tuma akiwajibika kwenye mnada huo.
Vitu mbalimbali vilivyoletwa kufanyiwa mnada
Rose Kachuchuru akiwa amenunua kikapu kuwezesha kuchangia harambee hiyo.
Deo Ruta mmoja ya wanakamati (kati) akilipia moja kitu alichonunua na baadae kukurudisha kipigiwe mnada tena kulia ni Tuma (kulia) akimsaidia mahesabu Faraja Isingo ambaye alikuwa mtunza fedha wa mnada huo
Juu na chini Watanzania waliojitokeza kwenye mnada huo wakiongozwa na baadhi ya maafisa wa Ubalozi wa Tanzania waliokuwepo kwenye harambee hiyo.

kwa picha zaidi Bofya soma zaidi.


Kushoto ni Mwambata wa jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Colonel Adolfh Mutta.



No comments: