Mkwavi anoongea good points, kwa kuchangia tu Tanzania tatizo wauzaji wa hayo mashamba hawana knowledge wala hawajafika kwenye hizo sahemu, wanaangalia manufaa yao tu, most of the time they don't even know what does the contract/ title deep says. hakuna ufuatiliaji wala utekelezaji mzuri wa wafanyakizi wa ngazi zote za serikali.
muhimu rules za ku invent zichange, new contracts have to be written, na ufuatiliaji/utekelezaji wa wafanyakazi wa serekali Tanzania uamke jamani,
Kitu chengine hela za kununulia sio tatizo, muhimua je una enough capital kuendeleza hayo mashamba au vitu vyengine, Knowledge ya ulimaji, man power na mambo mengine muhimu. la si ivo kila mtu atachukua mkopo bank na kufanya kitu chochote anachotaka na hizo hela za mkopo.
1 comment:
Mkwavi anoongea good points, kwa kuchangia tu Tanzania tatizo wauzaji wa hayo mashamba hawana knowledge wala hawajafika kwenye hizo sahemu, wanaangalia manufaa yao tu, most of the time they don't even know what does the contract/ title deep says. hakuna ufuatiliaji wala utekelezaji mzuri wa wafanyakizi wa ngazi zote za serikali.
muhimu rules za ku invent zichange, new contracts have to be written, na ufuatiliaji/utekelezaji wa wafanyakazi wa serekali Tanzania
uamke jamani,

Post a Comment