Kwanza nawapongeza kwa kuanzisha kipindi hiki cha tuzungumze. Maoni yangu ni, mzunguzapo lindeni HAIBA ya jamii, UTAMADUNI wa jamii, DINI za jamii na UTAIFA wa jamii. Kama lengo lenu kuielimisha jamii mtafanikiwa zaidi kama hamtaelemea upande wowote.
Pia jitahidini sana kuwaandaa watalaamu maalumu. Kwa mfano unapozungumzia UCHUMI alika wachumi, AFYA ya jamii alika doctors nk. Hii italeta maana na lengo lenu kufikiwa vilivyo.
1 comment:

Post a Comment