ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 13, 2013

MAELFU YA WANANCHI WA AFRIKA YA KUSINI WAFURIKA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MANDERA

Wananchi wa Afrika ya Kusini, wakiwa katika foleni kubwa ya kuelekea kutoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Hayati Nelson Mandera, katika majengo ya Ikulu Pretoria, leo.
Foleni ya wananchi hadi barabarani.(Sufiani Mafoto)

2 comments:

Anonymous said...

Mandera mhh

Anonymous said...

Kiswahili kimekuwa janga!
Herufi "H" imepotezwa....
"L" na "R" ni ugomvi!