
Mke wa zamani wa Mandela Winnie Madikizera -Mandela mwenye miaka 77 akipeana hug na kiss na Mke wa Mandela Graca Michael mwenye miaka 76. Wakifariana kwenye ibada ya kumuombea mzee Mandela na wote wakiwa kwenye vazi jeusi, Bi Winnie na Bi Craca wanaitana dada kiroho safi.
3 comments:
Duh, hapa pagumu. Kibongobongo hii haiwezekani hata siku moja, wake wenza lazima maadui wakubwa.
hahahaaa Mjomba Luka umejuaji kama ni kiroho safiiiiiii? Acha hizo
I don't understand why do they have to be enemies?. it takes a lot to be ANGRY.but it doesn't take much to be kind.
Post a Comment