
World one Tower Jengo hili litakuwa na ukubwa wa meters 442 na urefu kwenda juu ni feet 1,450 na litakuwa na high class apartments 300. Jengo hili laWorld One Tower litakuwa residential jengo refu kuliko yote duniani, na ujenzi wa jengo hili utaanza 2014 katika jiji la Mumbai India. Habari ndiyo hiyo kama unazo au ukishinda bahati nasibu unaweza kwenda kupanga apartment ndani ya kikwangua anga hiki. Mambo ya Bollywood hayo kwa masuper star wa huko hii ndiyo sehem ya kujipatia apartment kuonyesha jeuri ya umate mate.
![]() |
| Muonekano wa kikwangua anga hicho baada ya ujenzi wake kukamilika katika jiji la Mumbai. |

No comments:
Post a Comment