MJUE MWAMVITA MAKAMBA: MSICHANA MDOGO WA KITANZANIA MWENYE CHEO KIKUBWA NA MAENDELEO YA KUIGWA..
Mwamvita Makamba, Ni mtoto wa Muheshima Makamba aliyekuwa mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam , na baadae Mwenyekiti wa CCM kitaifa, Mwamvita ana Masters ya Politics and International Relations na kwasasa ni Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs kampuni ya Vodacom Tanzania.
5 comments:
Really hamna kitu cha maana cha kupost than this? DJ luke usiiaibishe hii blog plz. Kama mtu anatafuta umaarafu atumie social personal media.
Mzee(Mh.)Yusuf Makamba hajawahi kuwa Mwenyekiti wa CCM, yeye alikuwa Katibu Mkuu wa chama. Ni hilo rekebisho tu.
Wrong, mzee Makamba hajawahi kuwa mwenyekiti wa CCM kitaifa, ila alikuwa katibu mkuu wa CCM. Please check your facts.
She's so beautiful
Amesoma Kifungilo girl Huyu.Alikuwa na akili balaa
Post a Comment