ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 31, 2013

MKESHA WA MWAKA MPYA AJALI MBAYA IMETOKEA ENEO LA CCM USIKU WA LEO, YAUA MMOJA HAPO HAPO

Boda boda Mbili zikiwa zimegongana
Mashuhuda
Gari Jengine lililo husika na ajali hiyo
Watu wakiwa wanatazama ajali hiyo
Boda ikiwa imeharibika vibaya
Gari dogo likiwa limeharibika baada ya ajali hiyo
Hii maiti ya Dereva wa bodaboda ambaye alifariki hapo hapo
Watu wakiwa wanashuhudia ajali hiyo
Picha zote na Mbeya yetu Blog

1 comment:

Anonymous said...

Eneo la CCM lipo sehemu gani Tanzania?