Bila kificho...mimi ningependa Rais Kikwete awe wa kwanza kung'atuka katika swala zima la operation tokomeza kama linavyoitwa.yeye alijua kuwa Tanzania kuna mikoa ina watu,mababu walioingia Tanzania kabla ya yeye Kikwete kuzaliwa. Na wamekuwa wakiwapigia kura viongozi wetu akiwemo yeye Rais tangu enzi za mzee wa Butiama..mungu amlaze mahari pazuri....
1 comment:

Post a Comment