ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 26, 2013

VIONGOZI WA YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB WAMTEMBELEA LUNYAMILA HOSPITAL

Viongozi wa Young Africans Sports Club pamoja na wachezaji wa zamani walipomtembelea kumjulia hali mchezaji Edibily Lunyamila katika hospitali Mwananyamala Disemba 24 mwaka huu.

Lunyamila anasumbuliwa na tatizo la mapafu, hali yake kwa sasa inaendelea vizuri.

Young Africans Sports Club tunamuombea Lunyamila apate nafuu ya haraka na kupona kabisa aweze kuendelea na shughuli zake za kila siku.

No comments: