ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 26, 2013

RIHANNA AKILA BATA NYUMBANI NA FAMILIA YAKE HUKO BARBADOS


Kivazi cha ufukweni hicho Rihanna akiwa Barbados kama kawaida kipindi cha Krismas na mwaka mpya watu upendelea kula bata na familia zao.

Rihanna akitembea na kivazi chake cha ufukweni kinachofanana rangi na miwani zake za rangi ya bahari.
Penye umate mate wapambe hawakosekani kwani kizuri kula na nduguzo kiroho safi.
Rihanna akionyesha alama ya kidole gumba yani maana yake ni full bata hadi kuku wanasikia wivu kiroho safi home sweet home Barbados beach.

No comments: