
Rais Barack Obama wakiongozana na mkewe wakipanda ndege ya Airforcr one kuelekea Afrika Kusini siku ya Jumatatu dEC 9, 2013 kuhudhuria ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela ambayo imefanyika leo Dec 10, 2013 katika uwanja wa FNB uliopo Johannesburg.

Rais wa Marekani Barack Obama akiongea kwenye ibada ya kumbukumbu ya aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela aliyefariki jioni ya Dec 5, 2013.

Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama wakiangalia ratiba ya ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela iliyofanyika leo Dec 10, 2013 katika uwanja wa FNB Johannesburg.

Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama wakiangalia ratiba ya ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela iliyofanyika leo Dec 10, 2013 katika uwanja wa FNB Johannesburg.

Rais Barack Obama akimuelezea Nelson Mandela wakati wa Ibada ya kumbukumbu iliyofanyika leo Dec 10, 2013 Johannesburg nchini Afrika Kusini.

kutoka kushoto Rais wa Cuba Raul Castro, Rais wa Brazil Dilma Rousseff, Andrew Mlangeni wakimsikiliza Rais Barack Obama wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela iliyofanyika leo Dec 10, 2013 katika uwanja wa FNB Johannesburg.

Rais Barack Obama akisalimiana na rais wa Cuba Raul Castro wakati alipohudhuria Ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela iliyofanyika leo katika uwanja wa FNB Johannesburg.

Rais Barack Obama akisalimiana na rais wa Brazil Dilma Rousseff wakati alipohudhuria Ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela iliyofanyika leo katika uwanja wa FNB Johannesburg.

Rais Barack Obama akisalimiana na rais wa zamani wa Afrika Kusini F.W. de Klerk wakati alipohudhuria Ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela iliyofanyika leo katika uwanja wa FNB Johannesburg

Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama wakiagana na Waziri Mkuu wa Denmark Helle Thorning Schmidt mara tu baada ya kumalizika kwa Ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela.

Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama wakiagana na Waziri Mkuu wa Denmark Helle Thorning Schmidt mara tu baada ya kumalizika kwa Ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela.

Rais Barack Obama na mkewe Michelle Obama wakiondoka katika uwanja wa FNB Johannesburg baada ya kuhudhuria ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela iliyofanyika lea Dec 10, 2013 nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia akiwemo Rais Jakaya Kikwete. Picha na Zimbio
No comments:
Post a Comment