ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 13, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha kamati kuu ya CCM kilichofanyika katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo.Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na kulia ni katibu Mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana. Picha na Freddy Maro
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) makamu Mwenyekiti, Ali Mohamed Shein (kushoto) na  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. wakiwa katika kikao hicho. Picha na Freddy Maro

No comments: