Mr & Mrs Rwehumbiza wakisherehekea miaka 50 ya ndoa yao iliyofanyika nyumbani kwao Dar es Salaam, Tanzania Jumapili Noemba 3, 2013 na kuhudhuriwa na watoto wao ndgu, jamaa na marafiki.
Mr & Mrs Rwehumbiza katika picha ya pamoja na familia yao.
Mr & Mrs Rwehumbiza katika picha ya pamoja na Father Ngowi aliyeendesha ibada ya miaka 50 ya ndoa yao iliyofanyika siku ya Jumapili Novemba 3, 2013 Dar es Salaam, Tanzania.
Mr & Mrs Rwehumbiza katika picha ya pamoja na familia wakiwemo wajukuu wake.
Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye sherehe hiyo
Watoto wa Mr & Mrs Rwehumbiza wakiwa na furaha kuona wazazi wao wametimiza miaka 50 ya ndoa yao
1 comment:
hongera sana Mr. & Mrs. huu ni mfano wa kuigwa.
Post a Comment