ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 15, 2013

SHEREHE YA HARUSI YA OSCAR NA DORIS, GERMANTOWN,, MARYLAND.



Oscar katika picha na mpenzi mke wake kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika Jumamosi Dec 14, 2013 Germantown, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali  na majimbo mengine. Ndoa yao ilifungwa Nov 2, 2013 Tanzania katika kanisa la Mt. Alban na kufuatiwa na sherehe iliyofanyika Mikocheni kwenye ukumbi wa Danken House.

Doris akimlisha chakula mpenzi mume wake.

Oscar  Raymond Gao akiwasili kwenye ukumbi akiongozana na mpenzi mke wake Doris Joseph Saivoiye ambao sasa wanajulikana kama Mr & Mrs Gao .

Juu na chini ni Mr & Mrs Gao wakiselebuka wakati walipokuwa wakiingia ukumbini huku wakiwa wamejawa na furaha.

Oscar na Doris wakitoa shukurani za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa jitihada zao za makusudi zilizowezesha  sherehe yao kufanyika na kufana sana na kusema wamefarijika sana.

Kaka na dada wa Bwana Harusi wakitoa nasaha zao kwa maharusi.
Bwana na Bibi harusi wakikata keki.
Doris akimlisha keki mpenzi mume wake.
Oscar akimlisha keki mpenzi mke wake.
kwa mapicha kibao bofya soma zaidi

Oscar na Doris wakichum baada ya kulishana keki.
juu na chini ni Oscar na Doris wakifungua sakafu ya kuchezea muziki.
Ndugu, jamaa na marafiki wakijiachia kwenye sakafu ya kuchezea muziki.
Juu na chini ni kusaini kitabu cha wageni
Dj Paul Rwechungura.
Mshereheshaji akiwa kazini.
Juu na chini wakati wa chakula.
Juu na chini picha ya pamoja na maharusi.
juu na chin wakati wa kutost champagn
watu wakiselebuka.

wakati wa kucheza mdumange
Juu na chini ni wadau katika picha
Mapambo na Joyce Mkande meza ya maharusi na Keki ukumbi kumepambwa na Esther  akishirikiana na ndugu zake.

No comments: