ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 24, 2013

SHILOLE NDANI YA JIJI LA LONDON HAPA AKIWA NA BALOZI H.E PETER KALLAGHE

H.E Peter Kallaghe akiwa na Shilole ndani ya ubalozi wa Tanzania katika jiji la London, Shilole na Mzee Yusuph watawasha moto kwenye mkesha wa Xmas. Mzee Yusuph na Shilole watazikonga nyoyo za watanzania kwa vibao vyao vipya vinavyotamba huko Tanzania, Show itafanyika katika ukumbi wa Ville 640 Ripple Rd, Barking IG 11 0SR.

1 comment:

Anonymous said...

Shilole unahitaji stylist…au nyie mnaoandaa hizi tour inabidi muwemna provide stylist kha!