
Jana katika mitandao kulienea uvumi kuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo nchini Said Ngamba alimaarufu kama Mzee Small amefariki Dunia taarifa zilizotufikia mzee Small yu hai japo bado anaumwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari, Baada ya taarifa hizo kuzagaa mitaani na kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii mke wa mzee Small anadai alianza kupokea SMS zinazompa pole usiku kucha jambo ambalo lilimstua sana.
No comments:
Post a Comment