Advertisements

Sunday, December 8, 2013

tanzania yaingia nusu fainali, itacheza na kenya disemba 10

7 December




 http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4e/Flag_of_Uganda.svg/23px-Flag_of_Uganda.svg.png Uganda
 2 (2)
10 December
 2 (3)


7 December

 http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/49/Flag_of_Kenya.svg/23px-Flag_of_Kenya.svg.png Kenya


 http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/49/Flag_of_Kenya.svg/23px-Flag_of_Kenya.svg.png Kenya
 1
12 December
 http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/17/Flag_of_Rwanda.svg/23px-Flag_of_Rwanda.svg.png Rwanda
 0

 Timu ya Taifa ya Tanzania Bara imefanikiwa kuivua Ubingwa timu ya Taifa ya
 Uganda kwa kuifunga kwa mikwaju ya penati 3-2
 Hiyo ni baada ya kutoka sare ya goli 2-2 katika dakika tisini
 Golikipa Ivo Mapunda wa Gor Mahia anayenyemelewa na Wekundu wa Msimbazi
 ameibuka shujaa wa mchecho baada ya kufanikiwa kudaka penati mbili
 Kwa matokeo hayo Tanzania Bara imetinga katika hatua ya Nusu Fainali

 Mungu Ibariki Tanzania

 Mungu Ibariki Kilimanjaro Stars

No comments: