ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 1, 2013

TASWIRA MBALIMBLI ZA MCHUANO WA MISS TANZANIA USA PAGEANT ULIVYOKUA MKALI

 Mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera katika picha ya pamoja na Miss Sierra Leone.
 Mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera katika picha ya pamoja na aliyekua Miss District Of Columbia.
Mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera katika picha ya pamoja na mchumba wake.
washindi watano wa Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi
Mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera katika picha ya pamoja na familia yake.
Majaji kutoka kushoto ni Miss Sierra Leone,  Peter Walden na aliyekua Miss District of Columbia 2012.
Hellena Nyerere akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey
kwa picha zaidi zikiwemo mchuano mkali wa Mamiss Tanzania USA Pageant ulivyokuwa bofya soma zaidi ujionee mwenyewe

Aisha Kamara
Namala Elias
Doreen Rumaya
Sham Manka
Faith Kashaa
Joy Kalemera
Alice Mhina
Julia Nyerere
Hellena Nyerere

6 comments:

Anonymous said...

kazi nzuri wajameni!!

Anonymous said...

bwaaaa bwaaaaa ,namuona muheshimiwa PETER wALDEN peke yake katika majaji wa kibongo ,wale wengine vipi au fagio lachuma liliwapitia haaaa haaaaaa hongera sana mama wine watalijua jiji kwa kiingilia mambo yasio wahusu wakalime tuu ,iliobaki uko South Marland kuna mashamba ya maua wanatafuta watu wa kumwagilia wangepata kazi wote .

Anonymous said...

Excellent beautiful Tanzanian women.You all look amazing and we love you and thank you for participating. We could not ask for anything more

Anonymous said...

Bwaaaabwaaaaa yourself! Aliyekwambia nani majaji wa casting call ndio wote wangekuwa majaji wa Event? Hahaaaaaa! Kumbe uliumia eeeh! Pole yako jiji utalijua wewe! Thanks for coming to my Event, you made my paycheck fat! Hahaaaaaaaaaaa message sent mtaa wa pili.

Anonymous said...

Jamani mbona mnapenda maneno maneno ya kiswahili? Mbona sie wanakamati ndio tuliompendekeza Peter na hao mamiss ndio wawe majaji kwa sababu ilikuwa vigumu sana sie kuwa majaji maana warembo wote walikuwa wametuzoea na wote wanasifa za kuwa Miss, Tukaona ni bora tuweke watu wengine kabisa kuondoa lawama. Watanzania bwana kila litokealo mnajibu nalo kazi kweli mnayo.

Anonymous said...

Kusema kweli nimefarijika kuwafahamu hawa warembo. Kwani sikujua kama tuna watoto wazuri namna hii, wasomi na wana BIG DREAMS. Nilikuwa nao muda wote hapa MD wakiwa kambini na nataka niwaambie kuwa hawa warembo wote ni washindi na wanaupendo na nchi yao kwani nilipowauliza kuwa walikwenda lini nyumbani majibu niliyopata yalinifuahisha sana kiasi wengine wakasema hata nikipata nafasi ya kurudi nyumbani leo nintarudi! Viongozi tunawaomba hili suala la DUAL CITIZENSHIP mliweke kipau mbele look at the talents tunazozipoteza! Chemical engineers, nurses, MD'S, PHYSICIAN ASSISTANTS. Hawa vijana ndio watakaoweza kubadilisha hali mbaya ya health and education system sababu wao wana exposure ya both systems na wameishajua matatizo yako wapi kama mlivyowasikia walivyojieleza what they want to do back to their motherland TANZANIA, IT WAS ALL ABOUT EDUCATION AND HEALTH SYSTEM!!! IM SOOOOO PROUD OF YOU GIRLS.