Jumuiya ya Watanzania Dallas, TX itasherekea sikukuu ya Uhuru wa Tanzania 12/14/13 kama ilivyoandikwa na kiambatanisho hapo chini. Tunaomba wale wote wanahitaji ku renew passport ya Tanzania wawasiliane na Ben Kazora @ 269 873 0037 au Viola Mbise @405 613 3445 kabla ya Dec 3rd, 2013.
Viola,
Katibu.
3 comments:
kwani tunamepata uhuru sisi wadanganyika nauliza mijameni naona kama tuna uhuru mamboleo, not yet uhuru tusidanganyane bureee
wadanganyika mnaaalikwa wote mkaserebuke serebuke big up luke
Tukutame Dallas jamaaa
Post a Comment