Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akimuunga mkono Mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Tanzania Pageant Ma Winny Casey kwenye kucheza wimbo wa utamaduni asili ya mkoa wa Kagera wakati Ma Winny Case alipoitwa mbele kwa utambulisho.
Ma Winny Casey akiongea akiwasalimia wadau waliofika kwenye Miss Tanzania USA Pageant na kuwashukuru kwa kufika kwao.
Mshereheshaji Tuma akibwabwaja na kunogesha Miss Tanzania USA Pageant
Mshereheshaji Gil Ingles akienda sambamba na Tuma.
Maafisa Ubalozi Agnes Lusinde na Abbas Missana
Bagasa Libe akiwa na mgeni wake.
Asha Hariz katika picha
Deogratius Mhella kutoka New York akiwakilisha
Anicetus Temba kutoka New York akiwakilisha
9 comments:
Mbona hamtuonyeshi walivyopanda jukwaani nguo alizovaa na kadhalika?vichupi vya ufukweni viko wapi?.
MaWinny hongera sanaaaaaaaaaaaa..... hakuna cha blabla wala nini....umefanya
kazi yako vizuri umebuni something different mjini hapa,unaambia ukisusa wenzio twalaaaa...haaaaahaaaaa na tumekula kweli tumeshibajeeee show ilikua kabambe na wala hukuterereka....tupa kuleee...na wakuache ulaleeeeee....
Hamna kitu hii ilikua ni kugambire enough miss Tanzania in USA .ukiangalia ma miss wote karibia walikua wahaya ,jamani tafuteni kazi za pili tuu mfanye aya mambo ya umiss waacheni watu wenye sifa zao wafanye ushauri wangu tuu wahaya oyeeeeeeee .
Jamani tatizo ni kabila au waliojitokeza kuwania? Mama Winny alitangaza sana, wengi waliogopa kujiandikisha sasa kama hao wahaya wamekuwa wajasiri wewe kalia tuu mkia wako na utakuwa wa mwisho milele!
Get involved buddy and stop blaaaaa!
Wewe annonymous wa Dec 1, 2013 9:35 PM una personal issues zako. Wahaya ni wawili tuuu kati ya PAGEANTS 9 - OTHER MAKABILA NINAYOYAJUA NI KUWA WAPARE, KUNA MRANGI, WAZANAKI, SO SIJUI HIYO STATEMENT YAKO INABASED ON WHAT??? HAKUNA MTU ALIYE NA SIFA YA KUFANYA PAGEANT SHOW TUNAYEMJUA, AT LEAST MAWINNY HAS BEEN PART OF MS AFRICA USA PAGEANT SHOW LAST YEAR AND SHE BROUGHT THE PROFESSIONAL TEAM, AWESOME PERFORMERS, JUDGES - CROWNED MS SIERA LEONE, FASHION DESIGNER WALDEN AND CROWNED MS WASHINGTON DC! THE DECISION WAS VERY FAIR AND IF YOU WERE IN THE SHOW UNTIL LAST MINUTE YOU WOULD HAVE PICKED JOY, SHE STOOD UP AMONG MOST GIRLS! AT THE END THEY ARE ALL WINNERS! They are all educated and beautiful!
anonymous wa December 2, 2013 at 10:52 AM
Umenena! Hasa hata kama wangekuwa wahaya wote so whaaat. Where are all Tanzanians young girls? Hilo si tatizo la mawinny au anybody to be blamed.
mbona hapo muhaya ni mmoja tu, wa-TZ bwana mie nimewavulia kofia embu leave the nshomires alone kha!
Let's move forward mrembo tumempata na we are looking forward to take miss Africa USA 2014!. Lets go! Lets go! Huyu binti is a real model to young Tanzanians. We love you Joy.
mrembo namba nne was too much ex...lies. she deserved not to be in that show. kila siku tunakata naye kinywaji hapa mjini leo waniambia unasoma nursing in another state?ah. tunakupenda sana ila ule ulingo unatakiwa kuwa real unaweza danganye ukatukosti kama nchi...love
Post a Comment