Mhe. Balozi Liberata Mulamula Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akiongea machache ya kuwashukuru watu waliojitokeza kushuhudia kwa mara ya kwanza Miss Tanzania USA Pageant na haya ndiyo aliyoongea
Balozi wa Uganda nchini Marekani Mhe. Oliver Wonekha akiwasalimia watu waliohudhuria miss Tanzania USA Pageant baada ya kutambulishwa kuepo wake mahali hapo/
.
Balozi wa Namibia nchini Marekani Mhe. Martin Andjaba akisalimia watu waliohudhuria Miss Tanzania USA baada ya kutambulishwa kuepo kwake mahali hapo.
5 comments:
Sahamani lakini ndugu zangu kurekebishana ni muhim,hivijamani Rais wa watanznia DMV haya mavazi ni asili ya wapi? au kama desturi yetu Watanzania kuiga ya wenzetu wa west?
We vaa tu kitakachokujia akilini.kiindi sawa, kipemba sawa kiwest sawa tuko marekani hapa.
Wewe inaelekea hukuja kwenye event na wala hujui Dunia inakoelekea.
Waarabu kibao Wanavaa Suits na Kikwete akija huku mbona havai kimasai?
Nilikuwa kwenye Miss tanzania Bongo last year, niliona watu kibao wamevaa toxedo, sikuona Misuri ikiwa imevaliwa pale.
Pia huyu Rais Muwacheni Jamani anafanya kazi nzuri na anairudishia hishima hii DMV.
Let us move forward.
MAJANGA! WATANZANIA JAMANI HIVI TATIZO NI NINI? WENGINE TUMEOA AU KUOLEWA MAGHARIBI KUNA KOSA GANI KUVAA VAZI LA NCHI ULIYOOA AU KUOLEWA. HILI VAZI NI LA KINIGERIA NA HII NI SHUGHULI YA KITANZANIA NA WANAWAKE WENGI WALIOLEWA MAGHARIBI NILIWAONA WAMEFUNGA "NIGERIAN EGELE" VICHWANI. IT'S ALL GOOD. "UKIPENDA BOGA, PENDA NA UA LAKE".
DMV Makubwa!!
Haya rudini kazini!!
Post a Comment