Mwanamuziki Adele Clarice kutoka Cameroon akiimba nyimbo za Taifa za Marekani na Tanzania na baadae kuimba singo zake mpya alishangiliwa sana na umati wa watu alipokua kiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania kwa stadi bila kupindisha kiswahili utafikiri anatoka Tegeta, Dar es Salaam.
Mwanamuziki toka Ethiopia Betty G akitamba kwenye ukijimwaya mwaya ukumbini
Betty G
Mwanamuzi kutoka Cameroon Naomi Achu naye akifanya vitu vyake.
Mwanamuziki na mcheza sinema kutoka Ghana Kobi Maxwell akifunga pazia la makamuzi,
Kobi Maxwell akikamua na Adele Clarice
Dogo Al kutoka Delaware akikamua Azonto kisawa sawa na kunogesha usiku wa Miss Tanzania USA Pageant
8 comments:
Just wondering...hii ni miss tanzania. Why mnachukua waimbaji wa nchi nyingine na our own ubao hamumshirikishi? Msiwatie unyonge masuperstar wetu jamani..
Sababu huyo unayemtaja katafutwa tangu siku ya kwanza na hapakuwa na majibu, so we figure out kuwa hakutaka kushiriki. We love our TANZANIANS SUPERSTAR BUT KUWAPATA INAKUWA ISSUE.
Kabla hujaandika hiyo comment ungefanya homework na kuwauliza hao masuperstar wa Kitanzania kuwa mara ngapi wamepigiwa simu au kwa nini kwa uzalendo wao wasiombea kuperform? Hawa wanamuziki wa nchi zingine walioimba kwenye Ms Tanzania walijitolea mara baada ya kuona tangazo waafrica wengi walikuwa wanatuma maombi kushiriki, mpaka vendors waliomba kuja. Hivyo tujiulize what's wrong with us TANZANIANS? Tukiona shughuli zinazohusisha nchi yetu kuna ubaya gani kujitolea ujuzi wako au talent yako?
Kwa kweli ni aibu. Wanyanyueni mastaa wa kibongo. Labda ni upungufu wa maandalizi. Mmesamehewa!!!
Ma winny usirudie habari ya kuthamini wageni, wape wabongo fursa ya kupamba nchi yao.
Kazi umeifanya na hongera!
Team yote ya maandalizi ilijitahidi sana kutafuta wazawa lakini kama tunavyojijua TOO MUCH DRAMA inaingizwa kwenye profession za watu that is the problem. Angalia watu wangapi wa DMV walihudhuria?? The room was filled with Tanzanians kutoka out of MD, DC and VA. Hiyo tu ni tosha kuonyesha kuwa somethinng is not right. Many people came from Delaware and New York and New Jersey na wengine walikuwa waafrica wa nchi zingine. So maandalizi yaliwapa kipaumbele watanzania na hawakupatikana au kurudisha simu walizopigiwa
wewe kama ni msanii unaposikia kuna event kama hii utasubiri uambiwe? si utajaribu kuulizia kama unaweza ku-perform ujitangaze mwenyewe au ndo unasubiri upigiwe simu? tena mtu kama AJ hapo lingekuwa bonge la promo kama ange-take initiatives mwenyewe.
WABONGO AMKENI! CHASE YOUR DREAM! Ukisikia viongozi wanakuja kuna Dinner au Reception piga simu ubalozini sell your talent! Show them what you have that is why watanzania tupo huku majuu miaka 20, 30 + bado hatuamki. Mpaka upigiwe simu au ubembelezwe ndo ushiriki. Muda huo wa kubembeleza umekwisha wapo watu kibao wanatafuta nafasi kama hii na hawapati!
Dezo dezo ilikufa siku nyingi?kama ni kuandaa siku ya vipaji watajitokeza ila kwenye event hapo mnataka kuwatumia tu Kama ni kuonjeshwa mlishaonjeshwa sana sasa mnataka kila event monjeshwe tu bure kweli waTZ tunapenda Dezo kumbukeni hao watu wanabills zao namambo ya kukaa na kuchase ubarozini kuna nini nani kaja ya kizamani na uswahili nani kakwambia akija waziri au rais utaenda pale bila kuitwa au ndivyo mambo ya kuzamia kwanza tu kuitwa hapo ubarozini bonge ya deal
Post a Comment