ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 6, 2013

WASHIRIKI WA KIGORI WA TANZANIA 2013 WAWACHENGUA MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND

DSC_0331
Kikosi kazi cha Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba, Aneth Kushaba na Sam Mapenzi wakitoa burudani ya aina yake kwa mashabiki wa Band hiyo ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Jma lililopita. Tukutane jioni ya leo kusheherekea pamoja mapumziko ya mwezi Desemba.
DSC_0334
Mguu wa Kulia mbele wa kushoto nyuma......Staili ya Mukanda wa chuma chuma...Mshabiki wa Skylight Band wakionyesha ufundi wao.
IMG_6595
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos na Winfrida wakitawala jukwaa ndani ya kiota cha Thai Village Juma lililopita kuwapa raha mashabiki wao.
DSC_0373
Rapa wa Skylight Band Joniko Flower akiwapigia Acapella washiriki wa shindano la Kigori wa Tanzania 2013 linaloratibiwa na Mtangazaji Maimartha wa Jesse walipotambulishwa kwa mashabiki wa Band hiyo ambapo hivi karibuni zitakuwa fainali za shindano hilo na mshindi kujinyakulia gari ni gari gani na wapi??? Endelea kuperuzi tutawajuza.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
DSC_0370
Washiriki wa shindano la Kigori wa Tanzania wakionyesha manjonjo yao mbele ya mashabiki wa Skylight Band Juma lililopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0375
Mwandaaji wa shindano la Kigori wa Tanzania 2013 ambapo hapo awali lilikuwa likijulikana kama "Kimwana wa Manywele" Maimartha wa Jesse akipozi na washiriki wa shindano la Kigori watakaochuana hivi karibuni na mshindi kuondoka na gari mpya kabisa.
DSC_0315
Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo sambamba na Aneth Kushaba AK47 na Joniko Flower wakiwapagawisha mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0429 Skelewu......Skelewu...Like a that...Like a this.....Like a that....To your right.....To the front.....And your yansh to the back...Skelewu.....Skelewu...Skelewu......Skelewu…ske le le le le....Aneth Kushaba AK47 uzalendo ulimshinda na kuamua kuonyeshana ufundi wa kucheza na mashabiki wa Skylight Band. DSC_0433
Mdau Alois Ngonyani akishow love na Aneth Kushaba AK 47 ndani ya kiota cha maraha Thai Village Juma lililopita.
IMG_6608
Aneth Kushaba na Winfrida wakishambulia jukwaa.
IMG_6595
Palikuwa hapatoshi.
DSC_0437
Wadau wa Skylight Band wakishow love.
DSC_0442
Ifakara Family walikuwepo kuwakilisha.
DSC_0469 
Irene wa Skylight Band mtaalam wa Saxophone. Njoo umshuhudie mwenye usiku huu usingoje kusimuliwa. IMG_6602
Digna na Irene wakishow some love na Ukodak.

No comments: